March 18, 2025 09:02:46 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kwa mujibu wa utafiti, tendo la ndoa sio siri ya ndoa yenye furaha. Siri ni mazungumzo ya uhakika.
o-HAPPY-OLDER-AFRICAN-AMERICAN-COUPLE-facebook
Utafiti uliofanywa kwa wanawake na wanaume 2,000 waliooana kwa muongo mmoja au zaidi ushauri wao mkubwa kwa wanandoa wapya ni kuwa na desturi ya kuongea. Cha ajabu tendo la ndoa la kuridhisha lilikamata nafasi ya 18.
Haya ni mambo 20 yaliyotajwa kwa umuhimu wake katika kuwa na ndoa itakayodumu na yenye furaha:
1. Ongeeni
2. Maridhiano/Kupatana
3. Endeleeni kusonga mbele
4. Ifanyie kazi
5. Usiikatie tamaa ndoa kirahisi
6. Msiende kitandani mkiwa mnabishana
7.Kuwa Mvumilivu
8. Sikiliza
9. Kuwa mkweli/muwazi
10. Kuwa na heshima
11. Kuwa Mvumilivu
12. Kuwa na matarajio yenye uhalisi
13. Usiolewe
14. Fanyeni vitu pamoja
15. Wasilianeni
16. Kuwa mstahimilivu
17. Kuwa mwaminifu
18. Kuwa na maisha yenye tendo la ndoa linaloridhisha
19. Kuweni marafiki
20. Jipeni nafasi
Chanzo: Daily Mail

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
24 Feb 2015

Post a Comment

 
Top