Picha ya mwigizaji mkongwe wa vichekesho “KOMEDI” Lucas Mhuvile ‘Joti’ imewakuna watu wengi na kufanya kuwa ni moja kati ya picha zinazo” TREND” mtandaoni toka jana.
Japo kuwa Joti akiwa kama ‘Bi kiboga’ ametokelezea kiofisi zaidi, watu wengi wamejituka wakiangusha komenti nyingi wakielezea kuvunjika kwa mbavu zao kwa kicheko huku wengine wakisema mnuno wake ndio balaa na wengine wakisema skuna ndio sheedah ilimradi kila mmoja kafurahi kwa mtindo wake.
Kiukweli kabisa kijana huyu ni moja kati ya wakali wa KOMEDI pengine sio hapa bongo tu bali hata Afrika na Dunia .
“Kwanini lakini!!!!!?????? @jotimdebwedo ..Angalau umefanya siku yangu iwe nzuri kidogo leo... ila sio kwa skuna hizo!!!! … kwa kumuangalia tu anapendezea kufanya kazi wapi!? amefanania na ofisi gani!!???? “- Zamaradi Mtetema aliandika haya mara baada ya kuiona hii.
Mzee wa Ubuyu
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- James Lembeli Aibukia Mkutano wa Rais Magufuli01 Aug 20160
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia wa wakazi wa Kahama mara...Read more ?
- VIDEO:Aliyepigwa Picha za Utupu na Kusambazwa Mitandaoni Huyu Hapa, Ahojiwa na Kunena Haya28 Jul 20160
Mhanga wa picha za utupu zilizosambaa mtandaoni amehojiwa na na kudai kuwa ni kweli pcha ...Read more ?
- Picha Za Rais Magufuli Akiwa Ndani Ya Sare Za Jeshi Wakati Akisalimiana na Wananchi wa Jiji la Arusha22 Jan 20160
Amiri Jeshi Mkuu,Rais Dkt Magufuli akiwasikiliza wananchi kwa makini alipopita maeneno ya Sanawa...Read more ?
- Picha 15 zinazoonesha sura za mastaa walivyokuwa watoto na wanavyoonekana sasa hivi !!18 May 20150
Tunamjua Rihanna wa sasa hivi, wa zamani alikuwaje?? 50 Cent je? Nicki ...Read more ?
- Tazama Hizi Picha Uone Tofauti ya Askari Wetu na Wenzetu..Katika Majanga ya Mafuriko08 May 20150
Askari Wetu Wakisaidiwa Kuvuka Maji Tofauti ya Askari Wetu na Wenzetu..Katika Majan...Read more ?
- Hiki ndicho kilichonifikia kuhusu nyumba ya Ali Kiba kuvamiwa usiku wa kuamkia leo.. (PICHA)02 May 20150
Reporter wa wetu alikuwa mmoja ya watu wa kwanza kupewa taarifa juu ya tukio hili, akafika...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment