Mengi yamezungumzwa kwenye mitandao na kuchukua headline kuhusu Ujauzito wa Muigizaji wa filamu, Aunt Ezekiel, sasa leo Feb 2 kupitia Amplifaya ya Clouds FM Aunt Ezekiel amefunguka na kujibu baadhi ya maswali haya.
Millardayo:..’Vipi kuhusu Ndoa yako kwasababu uliolewa na Mtanzania aishie Dubai?
Aunt Ezekiel:..”Ndoa yangu bado ipo na itaendelea kuwepo na still bado mume wangu bado yupo..”
Millardayo :..Kulikuwa na taarifa kuwa amefungwa gerezani..?”
Aunt Ezekiel: “Sipendi sana kukiongea hicho kwasababu kama nilivyosema mwanzo kwamba maisha yangu binafsi uwa ni maisha binafsi ambapo yakija ya usanii yanakuwa ya usanii, kwa hiyo hayo ni maisha yangu binafsi ila kwa kifupi sijaachika na ndoa ipo na itaendelea kuwepo…”
Millardayo:..”Na kuna taarifa kwamba una ujauzito wa Moze ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz is it true…?”
Aunt Ezekiel:...”Mimi mwenyewe nasoma kwenye magazeti , nasikia kwenye radio kama wewe unavyosema hivyo yaani lakini mimi binafsi ndio najua hii mimba ni ya nani..”
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- VIDEO: Mama Wema Aeleza Beef yake na Man Fongo Kisa……..09 Sep 20160
NI Mama Wema Sepetu ambae ameingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kutofautiana na mkali wa ...Read more ?
- Busu la Nelly Kamwelu shavuni kwa Diamond akiwa na Wizkid lawatoa povu mashabiki (Video)25 Aug 20160
Haipiti wiki bila Diamond kuwatoa povu mashabiki, hata kama alichokifanya si kwamba alidhamiria...Read more ?
- Picha za Masanja na Mke wake Zazua Maswali Kwa Mashabiki wake..Wadai Mke wa Mchungaji Apaswi Kuvaa Hivyo19 Aug 20160
Baada ya Harusi ya Mchekeshaji Masanja na Mkewe iliyofungwa Jumapili iliyopita wawili hao wameon...Read more ?
- AUDIO: Kitu Diamond kasema kuhusu yeye kuwa mapenzini na Hamisa Mobetto03 Aug 20160
Ukaribu wako kwenye mitandao ya kijamii siku za karibuni unaweza kuwa ulikukutanisha na stori...Read more ?
- Shamsa Ford Amuweka Wazi Mpenzi wake Mpya03 Aug 20160
Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amefunguka na kusema kuwa baada ya kuachana na mpenzi wake wa...Read more ?
- Madai: Flora Amwangukia Mbasha30 Jul 20160
Habari ya mjini ni Mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha kudaiwa kumwangukia mumewe waliyetengana, Em...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment