March 15, 2025 01:02:32 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

NYOTA wa filamu kitambo, Lungi Maulanga anadaiwa kuwa katika bifu kali na mwenzake Tamrina Poshi ‘Amanda’ kwa kile kinachotajwa kuwa ni mmoja wao kumponda mwenziye akimsema kuwa anaenda nje kujiuza.
Nyota wa filamu kitambo, Lungi Maulanga.
“Unaambiwa Lungi baada ya kuambiwa hivyo alikasirika na kumpigia simu Amanda wakaanza kutukanana kiasi cha kufikia hatua ya kutaka kuchapana,” kilisema chanzo chetu.
Msanii wa filamu Bongo,Tamrina Poshi ‘Amanda’.
Baada ya habari hii kutua mezani, mwandishi wetu alizungumza na wote wawili ambapo Lungi alikiri kutofautiana na mwenzake kwa alichosikia, wakati Amanda alikanusha kuwa na ugomvi na mwenzake na kwamba hajaongea naye kwa simu kwa muda mrefu kwani hata namba yake hana.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
11 Feb 2015

Post a Comment

 
Top