March 30, 2025 11:37:59 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

indian-wedding-bridal-lengha-detailed-traditional
Bi harusi mmoja kaskazini mwa India, alijikuta kwenye wakati mgumu siku ya ndoa, kisa ni  ugonjwa wa mume wake mtarajiwa ambao yeye hakujua kama bwana huyo anaumwa.

Haikuwa siku nzuri kwa bwana harusi, ana tatizo la ugonjwa wa kifafa na tatizo hilo likamkuta siku ya ndoa yake na bibie Indra.
Indra alifanya maamuzi hayo magumu ambapo muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na bwana Jugal Kishore, bwana huyo alianguka ghafla kutokana na kifafa na kupelekwa Hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu, tukio hilo lilimfanya Bi harusi ashikwe na hasira kutokana na mume wake huyo mtarajiwa kumficha kwamba ana tatizo la ugonjwa huo.
Indra alibadili maamuzi, akatoa ombi la kuolewa na mmoja wa wanafamilia ya bwana harusi, ambaye alikuja tu harusini kusherehekea sherehe hiyo, jamaa akaonda hii ni bahati ya mtende kwake, baada ya bwana harusi kupata nafuu alirudi na kukuta story imekuwa nyingine harusini.
Hii mfano inakutokea wewe ungeamua nini mtu wangu?

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
19 Feb 2015

Post a Comment

 
Top