
Mwanadada matata Zarina Hassan 'Zarithebosslady', alitupia neno la kumtakia kila kheri mpenzi wake Diamond Platnumz katika shoo yake ya jana usiku. , Zari alitupia maneno hayo kwenye akaunti yake ya Intagram maneno yasemayo: Usiku huu nakutakia kila la kheri, nipo pamoja nawe kiroho...mahabbat hayo, lol!
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment