Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
MSANII anayezidi kuja kwa kasi Bongo Movies, Happy Nyatawe ‘Suzy’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa kutokana na migogoro mbalimbali iliyokuwepo ndani ya Kundi la Bongo Movie, hata akipita njiani akiitwa kwa kutumia jina hilo hatogeuka.


Msanii anayezidi kuja kwa kasi Bongo Movies, Happy Nyatawe ‘Suzy’ akipozi. 

Suzy alisema kutokana na ‘majanga’ kuwa mengi kundini, imefika hatua anaona hata aibu kujitambulisha kuwa yeye ni msanii kutoka Kundi la Bongo Movies.

“Kweli kabisa, mimi nikiitwa tu msanii wa Bongo Movie nikiwa napita njiani, sigeuki ng’o wataita mpaka wachoke kabisa, hali ni mbaya Bongo Movie tubadilike,” alisema Suzy.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top