Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Staa wa filamu Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’.
NA Mayasa Maliwata
STAA wa filamu Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’ amemshauri msanii mwenzake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kupigania kuolewa na mwandani wake, Nuhu Mziwanda ambaye alimvisha pete ya uchumba siku chache zilizopita kwa kuwa kitendo hicho kwa sasa kimeshazoeleka.

Staa wa muziki wa mduara Zuwena Mohammed ‘Shilole’akivikwa pete na mwandani wake, Nuhu Mziwanda.
Akipiga stori na paparazi wetu, Sandra alisema anafagilia sana mapenzi ya wawili hao kwani anaona wanaendana pamoja na utofauti wa umri uliopo anamtaka Shilole ahakikishe anaolewa haraka iwezekanavyo kwani hata mwanadada Wema Sepetu alivishwa  pete ya uchumba na  Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ lakini mpaka sasa hawajafunga ndoa malengo yao yameishia njiani. 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top