
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro leo imemnyima dhamana Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa katika kesi yake inayomkabili ya jinai namba 128 ya mwaka 2013.
Kesi hiyo imesikilizwa na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Marry Moyo ambaye amesema amepokea hati ya kumfutia dhamana Sheikh Ponda kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) kwa mamlaka aliyonayo hivyo yeye hana mamlaka ya kuikataa hati hiyo.
Kesi hiyo imeahirishwa mpaka Januari 26 na 27, mwaka huu itakaposikilizwa tena.
Rafiki Na Shabiki Wangu, Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori Zote Kutoka Kwangu Facebook na Kibonajoro
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment