June 20, 2025 02:24:58 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Draw ya raundi ya 4 kombe la FA imepagwa usiku huu huku washika bunduki Arsenal watakwenda ugenini kucheza na Brighton, huku Manchester city wakiikaribisha Middlesbrough nyumbani, Manchester United wakikaribisha Cambridge Utd, Chelsea wao watakuwa darajani kuchuana na mshindi katika ya  Millwall au Bradford City. 
Mechi za raundi ya 4 zitachezwa january 24 na 25.

FA Cup fourth round draw in full: Southampton or Ipswich v Crystal Palace, Cambridge United v Manchester United, Blackburn Rovers v Swansea City, Chelsea v Millwall or Bradford City, Derby County v Scunthorpe United or Chesterfield, Preston North End v Sheffield United, Birmingham City v West Brom, Aston Villa v AFC Bournemouth, Cardiff City v Reading, AFC Wimbledon or Liverpool v Bolton Wanderers, Burnley or Tottenham Hotspur v Leicester City, Brighton v Arsenal, Rochdale v Stoke City, Sunderland v Fulham or Wolves, Doncaster Rovers or Bristol City v Everton v West Ham, Manchester City v Middlesbrough.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
05 Jan 2015

Post a Comment

 
Top