Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kampuni ya masuala ya teknolojia ya AF Group Tanzania imetoa orodha ya mastaa waliokuwa na ushawishi zaidi kwenye mitandao ya kijamii nchini. Methodology: Fan-base sum on Twitter, Facebook & Instagram in ‘000s).
wpid-wema-akiwa-pembeni-kumsupport-diamond1.jpg
Hii ndio orodha yenyewe:
1. Nasib Abdul Juma @diamondplatnumz (score: 1,045)
2. Wema Sepetu @wema_sepetu (score: 653)
3. Millard Ayo @millardayo (score: 645)
4. Judith Wambura @JideJaydee (score: 622)
5. Jokate Mwegelo @jokateM (score: 494)
6. Emanuel Mgaya @mkandamizaji (score: 481)
7. Ambwene Yesaya @AyTanzania (score: 315)
8. Hamis Mwinjuma aka @MwanaFA (score: 314)
9.Salama Jabir @EceJay (score: 297)
10. Lucas Lazaro Mhuvile @JOTI__ (score: 284)

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top