“Kuna dawa ambazo unapewa kuanzia hatua za awali, kamwe huwezi kutematema mate hovyo kama wajawazito wengine, mtoto anakua vizuri na hadi unafikia hatua ya kujifungua huwezi kupata kashikashi,” alisema Flora ambaye ni mke wa staa wa Bongo Fleva, Hamis Ramadhan ‘H.Baba’.
Siku chache baada ya kunasa mimba ya pili, mwigizaji Flora Mvungi amempa somo la uzazi staa mwenzake, Aunt Ezekiel kuwa anapaswa kuzingatia taratibu za kliniki, vinginevyo atapata madhara makubwa.
Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Flora alisema mbali na kupunguza kujirusha, anamshauri Aunt aende kwa Dokta Fadhili Emily wa Kliniki ya The Fadhaget Sanitarium Kitengo cha Sayansi na Tiba iliyopo Mbezi Beach- Africana jijini Dar kwani walimsaidia sana yeye katika kumuelekeza namna ya kulea mimba hadi kujifungua akiwa salama.
Alisema wataalam hao walimsaidia katika mimba yake ya awali na hata hii ya pili wanaendelea kumpa tiba ya sayansi asilia hivyo kama Aunt ataamua kumsikiliza na kufuata ushauri wa kutopenda starehe na kuvaa viatu virefu basi atajifungua salama.
Dokta Fadhili Emily wa Kliniki ya The Fadhaget Sanitarium Kitengo cha Sayansi na Tiba.
Aunt ambaye kwa sasa tumbo linaonekana kuwa kubwa, amekuwa akionekana katika kumbi za starehe akijirusha akiwa na mavazi ya kihasara hali ambayo inaelezwa kuwa huenda ikamsababishia madhara kiafya.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- VIDEO: Mama Wema Aeleza Beef yake na Man Fongo Kisa……..09 Sep 20160
NI Mama Wema Sepetu ambae ameingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kutofautiana na mkali wa ...Read more ?
- Busu la Nelly Kamwelu shavuni kwa Diamond akiwa na Wizkid lawatoa povu mashabiki (Video)25 Aug 20160
Haipiti wiki bila Diamond kuwatoa povu mashabiki, hata kama alichokifanya si kwamba alidhamiria...Read more ?
- Picha za Masanja na Mke wake Zazua Maswali Kwa Mashabiki wake..Wadai Mke wa Mchungaji Apaswi Kuvaa Hivyo19 Aug 20160
Baada ya Harusi ya Mchekeshaji Masanja na Mkewe iliyofungwa Jumapili iliyopita wawili hao wameon...Read more ?
- AUDIO: Kitu Diamond kasema kuhusu yeye kuwa mapenzini na Hamisa Mobetto03 Aug 20160
Ukaribu wako kwenye mitandao ya kijamii siku za karibuni unaweza kuwa ulikukutanisha na stori...Read more ?
- Shamsa Ford Amuweka Wazi Mpenzi wake Mpya03 Aug 20160
Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amefunguka na kusema kuwa baada ya kuachana na mpenzi wake wa...Read more ?
- Madai: Flora Amwangukia Mbasha30 Jul 20160
Habari ya mjini ni Mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha kudaiwa kumwangukia mumewe waliyetengana, Em...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment