
Mrembo wa shindano la Miss BumBum la Brazili Bi. Andressa Urach (Miaka 27) ambaye picha zake ziko hapa, ameamua kusaidia ulimwengu kutambua madhara ya "oparesheni za kujiongezea maumbo bandia" (Plastic Surgery).
Mwanadada huyo ambaye ni mshindi wa pili wa shindano hilo kwa mwaka 2012 na ambaye pia ni mtangazaji maarufu wa televisheni aliingiziwa vitu vya bandia katika oparesheni aliyofanyiwa ili awe na makalio makubwa.
Picha hizi zote zinaonesha alivyokuwa amelazwa hospitalini chini ya uangalizi maalum. Mama yake anawaomba wafuasi wake wa twitter zaidi ya 220,000 wamuombee sana.
Hizi ni baadhi ya picha zake akiwa hospital kwa matibabu zaidi






Mwanzoni alikuwa hivi tizama picha hapo chini

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment