Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mtoto wa miaka 15 mkazi wa Manzese jijini Dar es salaam, anadaiwa kubakwa na kulawitiwa na mjomba wake aliyetajwa kwa jina la Hassan Maumba ambaye kwa sasa anashikiliwa na polisi katika kituo cha Urafiki ambaye alikuwa akifanya kitendo hicho kwa muda wa miaka mitatu huku akitishia kuua.
Mbali na kulawitiwa mtoto huyo pia alidaiwa kulazimishwa na mjomba wake huyo kumnyonya damu baada ya kujikata na wembe, huku akimtishia na kisu kama angekataa au kutoa taarifa hizo kwa mtu yoyote.
Mtoto huyo ambaye ni yatima alimaliza darasa la saba mwaka jana na alisema mjomba wake alianza kumfanyia hivyo wakati akienda bafuni kuoga.
Siku ya kwanza nilipoingia bafuni, mjomba alikuja na kuanza kuniingiza vidole sehemu za siri huku akinitisha nisimwambie mtu,aliendelea hivyo na kufikia hatua ya kuniingilia kinyume na maumbile huku mke wake akiwa hajui na kunitishia kuniua kama ningesema“alisema mtoto huyo huku akitokwa machozi.
~Mtanzania 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top