Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
.
Msanii wa kike wa filamu, Flora Mvungi time hii ameingia  pia kwenye tasnia ya Bongo Fleva ambapo leo ameachia single yake mpya iitwayo Mkazurure aliyomshirikisha A.T na kutayarishwa na producer Fraga kutoka Uprise Music.
Isikilize hapa mtu wangu..

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top