MWANAMITINDO na dairekta wa lebo ya Kidoti, Jokate Mwegelo amekuwa tishio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa urembo na muonekano katika picha zinazoonekana mitandaoni nchini.
Mtandao mmoja wa hapa nchini umeendesha zoezi la kuweka picha zao kali zinazowaonesha wote wawili wakiwa na muonekano na picha kali huku wakiuliza nani zaidi ya mwenzake.Jokate ameibuka mshindi kwa kupigiwa kura tano huku watu wakimsifia kuwa ni wa kimataifa zaidi ambapo Lulu alionekana kupigiwa kura na mtu mmoja.
Msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Amani liliongea na Jokate ambaye aliwashukuru Watanzania kwa kumpenda na kumpa nafasi lakini aliwasihi kwa kuwaambia kuwa yeye aonavyo wote ni warembo.“Mimi naona sisi wote ni warembo, nawashukuru Watanzania walionichagua na kuniona nafaa,” alisema Jokate
Lulu alipotafutwa, hakupatikana.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Zijuie Sababu 10 za Mastaa wa Kike Bongo Kutodumu Kwenye Ndoa!29 May 20150
Na Hamida Hassan Mastaa wengi wamekuwa hawadumu kwenye ndoa zao na wengine kwenye uhusiano wa...Read more ?
- Picha 15 zinazoonesha sura za mastaa walivyokuwa watoto na wanavyoonekana sasa hivi !!18 May 20150
Tunamjua Rihanna wa sasa hivi, wa zamani alikuwaje?? 50 Cent je? Nicki ...Read more ?
- Macho ya watu wengi duniani yapo kwenye uhusiano wa mastaa hawa kumi..19 Mar 20150
Kuna kitu kama kimezoeleka na watu wengi hivi, ishu ya kuona mastaa wakidumu muda mfupi kwenye u...Read more ?
- Wafahamu Mastaa Saba Bongo Wanaoetembelea Magari ya Kifahari15 Mar 20150
Asilimia Kubwa ya mastaa Wa bongo wamekuwa wakionekana wakijivinjari katika mitaa mbali mbali wak...Read more ?
- Masanja awashusha Profesa Jay na Jaydee, sasa awa msanii wa pili kwa utajiri Tanzania.13 Mar 20150
UTAJIRI wa komediani maarufu Bongo, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unati...Read more ?
- Ni Kweli Umaarufu wa Wema Sepetu Umeshuka Baada ya Kuachana na Diamond?25 Jan 20150
Miaka kadhaa iliyopita, Diamond Platnumz alikuwa kijana mwenye ndoto kama underground wengine wa ...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment