Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Ally-Dax
Nimekuwekea hapa U Heard ya jana January 20, story ya leo ni kuhusu tetesi kuwa mwigizaji Wema Sepetu baada ya kuachana na Diamond Platnumz kwa sasa ana uhusiano na mwanamitindo Mtanzania anayefanya kazi zake Afrika Kusini,  Ally Daxx
Gossip Cop alimtafuta Wema na kumuuliza kuhusu story hiyo kama kuna ukweli wowote, Wemaamekataa kuwa na uhusiano na mwanamitindo huyo.
wema sepetu

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top