Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
The impressive Harry Kane brilliantly fired in an equaliser from outside the box later in the first halfTimu ya chelsea leo imekiona cha moto baada ya kupokea kichapo cha magoli matano kwa matatu kutoka kwa mahasimu wao wa mji mmoja Tottenham hotspur katika uwanja wa White hart lane.
Matokeo hayo yameiondoa chelsea kileleni kutokana na kufungana ponti na mabingwa watetezi, Manchester city wenye mabao mengi zaidi ya kufunga.
Diego coast alikuwa wa kwanza kuiandikia bao chelsea katika dakika 18. hapo chini kuna wafungaji wote wa mabao hayo na muda.

Msimamo wa ligi kuu soka nchini Uingereza baada ya michezo 20 kuchezwa 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top