Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Staa Wema Sepetu amefunga vilivyo kuhusu mahasiano ya kati ya Aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na Bilionare Zari The Boss Lady na kikubwa alichokisema ni kwamba hana Wivu kabisa na anawependa sana.
Aliyesema hayo wakati akihojiwa na mtangazaji wa Clouds fm ambaye ni mwongozaji wa na mtayarishaji na pia mtangazaji wa XXL ya Clouds fm Soudy Brown, hiz ni baadhi ya kauli zake 

"Aisee nawapenda… such a good couple. Wivu wa nini, I wish him all the best and ammmm… I wish him happiness …"
Bonyeza Hapa chini kusikiliza maongezi yake akiwa na Soudy Brown
Bonyeza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top