Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Picha hizi za muigizaji Wastara Jumaakiwa hospitali 
 chanzo chetu makini kilitualifu kuwa Wastara alitoka nyumbani kwake asubuhi na kuelekea Hospitali ya TMJ Mikocheni.
Wastara akiwa anachukuliwa damu kwa ajili ya vipimo
Alikuwa na tatizo arrage alitokwa na madoa doa mwilini ikamlazimu kwenda hospitali ambapo  baada ya vipimo alichomwa sindano na  kupumzishwa ambapo aliruhusiwa majari ya saa 12 jioni.
Mtandao huu unamtakia afya njema.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top