Mwigizaji wa filamu,mrembo na mwenye mvuto wa kufanya wengi wapagawe, Elizabeth Michael aka Lulu ambae kwasasa yupo Mjini Bukoba kwa mapumziko mafupi. Akiwa katika viwanja vya kula bata mjini hapo Lulu hakusita kuwasifia watu wa kabira la Wahaya kwa njinsi alivyo furahia GOOD TIME alilopewa na kumfanya afunguke mwenyewe kwenye mitandao ya kijamii
“Wahaya noma......
Hili Bata la Watu wa Bukoba ni Noumer...! likizo isiishe jamani”
Haikuishiahapo, alitupia picha nyingi mtandaoni akiwa "SAMUWEA" kama unavyoziona hapo juu.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment