Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka amegoma kujiuzulu kwakuwa haoni sababu ya kufanya hivyo
 akuzungumza na waandishi wa habari anasema watu wanaona kujiuzulu ni 'fashion' ila yeye hayuko katika 'fashion' hiyo

Tibaijuka: Nikijiuzulu hata Rais atanishangaa maana katika yale mapendekezo ya Bunge hakuna sehemu iliyonitaka kujiuzulu.
Tibaijuka: Niliomba mchango wa Shule nikapewa na Rugemalira, sasa kujiuzulu nitakuwa sijaitendea haki jamii
Tibaijuka: Lengo la kuzungumza na Waandishi wa habari ni kuzungumza yale niliyokosa nafasi ya kujitetea wakati wa sakata la ‪#‎TegetaEscrow‬

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top