
Wiki kadhaa zimepita tangu staa wa kike wa Bongo movie, Jacqueline Wolper aamue kujichora tatoo mpya kwenye mkono wake good news ni kwamba kuna staa mwingine waBongo fleva ameingia kwenye headline baada ya kuchora tatoo.
Hitmaker wa single ya Kizunguzungu,Rachel kupitia instagram ameweka video yenyesekunde 15 ambazo zikimuonesha akichorwa tatoo mpya mkono huko London ambako alienda kwaajili ya show yake.
bonyeza hapa
Itazame hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment