Mpenzi wa zamani wa Ray J aliyetishia kujiua Jumatano hii anadaiwa kutaka kuchukua uamuzi huo baada ya kugundua kuwa mpenzi wake ana ukaribu na Karrueche Tran, kwa mujibu wa TMZ.

Msichana huyo aitwaye Princess Love alimpigia simu Ray akitishia
kujiua. Muda mfupi alimpigia tena simu Ray na kumwambia ameahirisha
kufanya hivyo.
TMZ iliandika kuwa Ray alimpiga chini mpenzi wake baada ya ugomvi.

Mtandao huo umesema baada ya hapo Ray alienda kushoot kipindi cha New
Year’s Eve special cha BET. Karrueche naye alikuwepo na walikuwa pamoja
hadi saa kumi usiku.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment