Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Stori: Gladness Mallya
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa anamshukuru Mungu kwani amenusurika kifo kwa ajali ya bodaboda.Akizungumza na paparazi wetu, Amanda alisema ajali hiyo ilitokea hivi karibuni maeneo ya Makonde-Mbezi Beach jijini Dar wakati alipokuwa akiwahi lokesheni.

“Nilirudisha gari nyumbani, nikachukua bodaboda ili iniwahishe lokesheni Posta, bodaboda alikuwa spidi likatokea lori la mchanga kwa mbele  katika jitihada za kulikwepa ndipo tukatumbukia mtaroni.

“Nashukuru Mungu nilipata majeraha madogo usoni, hakuna aliyeamini kama tumenusurika, nilienda Hospitali ya Masana na kupewa huduma ya kwanza, nikatoka,” alisema Amanda.
Ungana nasi Facebook na Umechekeshwa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
13 Dec 2014

Post a Comment

 
Top