
Kwa mwaka 2014 ambao umebakia siku chache tuweze kuuzika na kuukaribisha mwaka 2015 kuna baadhi ya mastaa wameweza kuweka jam kwenye mitandao ya kijamii na kufanya internet kwenda likizo kwa muda, kama rapper Jay Z (45) na Mke wake Beyonce (33) walivyoingia kwenye tetesi za kutaka kuachana, tifu la Solange na Jay Z kutibuana kwenye lift pamoja na picha zao balaa na kwa upande wa rapper Kanye West (37) na model wake Kim Kardashian (34) inasemekana cover lao la Vogue waliuza zaidi ya kopi 150,000.












Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment