July 27, 2025 06:18:14 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Kuwa na mpenzi ni kitu cha kawaida katika maisha ya mtu mzima na  pengine  kila mtu mzima hapa labda anampenzi wake, ila linapokuja swala la mapenzi ya mtu maarufu katika jamaii, akiwa na mpenzi  na wakiamua jamii itambue hiyo lazima iwe story.




Msanii mwenye vipaji  vya kucheza filamu na kuimba muziki,

MAHABA:Huyu Ndie Manzi Aliemshika Hemmedy PHD

Hemmed Seleman  aka Hemmed PHD, kupitia mitandaoni  amekuwa akitupia picha za akiwa na  mrembo huyu wakiwa katika mapozi ya kimahaba zaidi na kuandika maneno yakaashiria kwa wo ni wapenzi. Picha hapo juu zinaonge.

Nimastaa wachache sana hapa Tanzania ambao wanaweka wazi wapenzi waoili jamii iwatambue.Hongera sana HEMMEDY PHD na tunawatakia  kila la kheri kwenye mapenzi yenu.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
11 Dec 2014

Post a Comment

 
Top