Jamaa mmoja Australia alifika katika ATM lengo lake likiwa ni kuiba, akategesha kitu ambacho ni kama baruti hivi ili mashine ilipuke aibe pesa.
Mpango wake ulikwama, ulitokea mlipuko mkubwa kwenye ATM ambao ulimtupa mbali, akainuka na kukimbia huku mashine ya ATM ikiwa imeharibika vibaya kutokana na mlipuko huo.
Polisi wa Jiji la Darwin, Australia ilikotokea tukio hilo wanahisi jamaa huyu anahusika na tukio la namna hiyo ambalo lililotokea siku ya Sikukuu ya Christmas.
Kuna video ya sekunde hamsini ikionyesha tukio zima, itazame hapa.
Kama kifaa chako hakina uwezo Bonyeza hapa kuitizama video hiyo
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment