March 25, 2025 06:34:09 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

prostitute kenya

Nchini  Kenya wanawake pamoja na wasichana ambao hufanya biashara ya ngono ama kujiuza kwa lugha rahisi limefanya maandamano kuadhimisha siku ya makahaba duniani jana December 17, ikiwa na lengo la kukomesha dhuluma dhidi yao.

Unaambiwa wanawake hao  waliandamana  mpaka ofisi ya Jaji Mkuu Willy Mutunga wakitaka wakishinikiza serikali kuitambua biashara yao na kuifanya iwe halali na walipe kodi kama biashara zingine zinavyofanya katika hatua ya kuingizia mapato serikali yao

Kutoka kitua cha television cha K24 walioripoti story hii wameweka na video kwenye channel yao ya youtube iko hapa kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
18 Dec 2014

Post a Comment

 
Top