Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Muigizaji na muongozaji wa filamu  Jacob Stephen “JB” akionekana mwenye tabasamu pana na misosi mingi juu ya meza mbele yake, JB aliweka picha hii mtandaoni na kulalamika kuwa watu wemekuwa akimsakama sana kuwa anapenda kula kisa ndiomnana anazidi kuwa bonge. Ikionekana ni utani JB aliandika;
“Hivi jamani mbona mnanionea.kila nikiweka picha ya msosi maneno.haya jana nilikuwa nimeweka picha ya ngisi na mabilinganya na salad. bado mnasema nakula sana.sasa nitakuwa nakunywa maji tu.sili tena nimechoka mnanisimanga sana.kwani mimi nina unene gani si kama Drogba tu.aaaah”
Ungana nasi katika Facebook na Umechekeshwa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top