Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
IMG_6945Siku ya Jumapili December 21 kulikuwa na onyesho kubwa lililofanywa na Kundi la Jahazi Modern Taarab, hii ilikuwa ni sherehe ya kusherehekea mafanikio waliyoyapata kwa kipindi cha miaka nane.
Hizi ni baadhi ya picha zikionyesha namna ambavyo kundi hilo lilisherehekea maadhimisho hayo ambapo mastaa kama Khadija Kopa pamoja na mashabiki wao walijitokeza kwenye onyesho hilo.
IMG_6810
IMG_6836
IMG_6839
IMG_6843
IMG_6868
IMG_6892
IMG_6946
>>>>Credit Millardayo

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top