Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Stori: Imelda Mtema
KWA mara ya kwanza baada ya kutua Bongo, Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshort (2014), Idris Sultan amemfungukia mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kudai ni rafiki yake wa karibu.



Kabla mshindi huyo hajakanyaga Bongo, Lulu alishambuliwa mitandaoni baada ya kujinadi kuwa na urafiki wa karibu na Idris lakini kwa kauli hiyo, imeonesha dhahiri wawili hao ni marafiki wa kweli tofauti na mitazamo ya wadau mitandaoni.

“Lulu ni rafiki yangu wa muda mrefu, hakuna kingine zaidi ya urafiki. Tutaendelea kuwa marafiki hata baada ya ushindi huu,” alisema Idris, juzi alipokuwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari kwenye Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam (The Kilimanjaro)
Ungana nasi Facebook na Umechekeshwa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
13 Dec 2014

Post a Comment

 
Top