March 19, 2025 09:19:44 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Baada ya mwanadada LULU kutupia picha yake mpya kwenye mtandao akiwa amevaa cheni ama mkufu  mpya shingoni mwake, maswali kadhaa ya wadau yameanzaje kujitokeza kuhusu cheni hiyo pamoja na maana yake.
Huku kukiwa bado kuna vuguvugu la ushindi wa Tshs.  MILLIONI 500 za kijana Idristoka jumba la BIG BROTHER na lulu akiwa ni mmoja wa watu wakubwa sana waliokuwa wanawahimiza wananchi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na mipaka yake kumpigia kura kijana huyu ili ashinde, maswali Kadhaa yamejitokeza kuhusiana na mkufu huo ulioko kwenye shingo laini ya mrembo LULU.
1. Swali kuu la kwanza?
Je, LULU kanununua mkufu wenye alama hiyo ili ufanane na ule wa Idris aliyeshinda million 500? kama mpango yakinifu wa kujiweka karibu na ‘Millionea’ huyo?
2. Swali kuu la pili?
Lulu kajiunga FREEMASONS? Mbona mkufu wake huo una alama zao zile zaoo?
Tusaidie ndugu msomaji kwa maoni yako hapo chini…

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
13 Dec 2014

Post a Comment

 
Top