Diamond amefika Uganda na kupokelewa na timu ya Zari kwaajili ya party yake ya #ZariAllWhiteCirocParty inayofanyika @guvnoruganda tarehe 18 December 2014. Hizi picha za chakula cha usiku wakiwa na mwenyeji wao Zari.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment