Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mwili wa mtuhumiwa ukiwa unaning'inia baada ya kupigwa risasi na kufariki dunia wakati akijaribu kuwatoroka askari Polisi Mahakama ya Kisutu Jijini Dar-es-salaam leo asubuhi.

Muda mfupi baadae Polisi ikatoa taarifa kwamba mtuhumiwa wa dawa za kulevya aliyeuwawa ni Abdul Koroma raia wa Sierra Leone na aliuwawa kwa risasi wakati akitoroka Mahakamani.




Askari wakiutoa mwili wa marehemu baada ya kujaribu na kupigwa risasi na kufariki papo hapo.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top