Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
   
siku ya tukio watoto walikuwa wakicheza nje ya nyumba yao kama wiki moja iliyo pita ndipo kuna baba mmoja akapita akamwambia mtoto mmoja wa kiume amuonyeshe duka lilipo maeneo hayo yule mtoto wa kiume alikataa ndipo alipo mwambia mtoto wa kike aitwae Nuru nipeleke dukani. yule mtoto akatangulia mbele yule babu akiwa nyuma. yule mtoto wa mwanzo wa kiume akakimbia kwa shangazi yake ambaye ni mama wa mtoto Nuru

ndipo mama wa binti huyo alipo acha shuguri zake na kuanza kumsaka binti yake ili kujua ni nani aliye msindikiza dukani lakini hawakuweza kumpata mpaka jana. maeneo yakalibu na nyumba ya ya binti uyo Nuru alipokua anaishi majirani walisikia harufu kama kitu kinachomwa ndipo walipo sogea eneo la tukio na kukuta mwili wa mtoto uyo ukiwa umefunikwa kwa matofali


 picha apo nimtoto Nuru akiwa amefukiwa kwa mawe


Bonyeza Hapa kusikiliza mama wa mtoto na watoto wengine waliokuwa wanacheza nae siku hiyo

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top