News nyingine mpya kuhusu yeye ni kwamba ataanza kuonekana kwenye king’amuzi cha DSTV kwenye show nyingine mpya ambayo atakua anaifanya na Mganda Gaetano na itaitwa Beat the Challenge na itaonekana kwenye channel ya Maisha Magic Channel 161 kuanzia December 13 2014.




Post a Comment
Post a Comment