Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper.

STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amewabwatukia baadhi ya watu wanaomsema kuwa kafulia na kudai hawajitambui na wanapenda kuzungumza vitu ambavyo hawana uhakika navyo.
Akizungumza na mwandishi wetu, Wolper alisema anashangazwa na watu ambao wanaojifanya ni watabiri wa maisha yake wakati hakuna hata mmoja ambaye anajua ni wapi alipotokea, wanamzushia na kumuandika mitandaoni.

“Jamani kuna watu ambao wanajifanya ni watabiri katika maisha ya watu na ni vyema kila mtu akafuata mambo yake  na kuangalia zaidi vya kwao na siyo kunifuatilia leo nimefulia au leo niko sawa, wanaboa sana,” alisema Wolper pasipo kuwataja majina.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top