Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiaWpppca-8InH_K-CzIqXov_4qi4Tqu174liMuhypzfqf0l6xP5KvuUNA37FxB3GUUpYjw1gJMY0aSX5NmzJkkKURJlDEIsEoP-ABhI6NjjKKS4F3N9Ytw8o8X-KsM67I23nAY4UZvqc8/s1600/10.JPG 

Baada ya vyombo vya habari kuripoti kuhusu Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu(Pichani juu) na msanii wa filamu Aunty Ezekiel kuvinjari nchini Marekani hatimaye waziri huyo amefunguka.
Nyalandu alisema tuhuma hizo zimetengenezwa na kundi la watu ambalo miongoni mwao ni baadhi ya viongozi wa Serikali ambao humchafua kutokana na utendaji kazi wake.
Aunt Ezekiel
Nyalandu alisema alikwenda Marekani septemba12 kwa ajili ya kufungua tamasha la utamaduni na utalii kupitia soko la wasanii wa Tanzania ambako alikutana na msanii huyo mara moja pamoja na mwingine wa Bongo Fleva Kassim Mganga usiku katika moja ya maeneo nchini humo.


Alikana kutanua na msanii huyo kama baadhi ya nyombo vya habari vilivyoripoti na kusema maneno hayo ni kwa lengo la kumwaribia heshima yake mbele ya jamii.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top