Mwakilishi wa Msumbiji, Mira na wa Zambia, Resa wamekuwa washiriki wa kwanza kutolewa kwenye shindano la Big Brother Africa – Hotshots.
Resa na Mira walipata kura chache zaidi.Wasanii waliotumbuiza kwenye eviction show ya kwanza ni Olamide na Phyno wa Nigeria.
Tanzania inawakilishwa na Idris Sultan na Laveda.
Bonyeza Hapa
Tanzania inawakilishwa na Idris Sultan na Laveda.
Bonyeza Hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment