Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Katika hali ya kushangaza, mastaa wa kike wa muziki, Esterlina Sanga ‘Linah’ na mwenzake Sarah Kaisi ‘Shaa’ waliibua gumzo kufuatia kuchuana kwa kupozi kihasara mbele ya kamera.
Staa wa muziki wa kizazi kipya Esterlina Sanga ‘Linah’.


Ilikuwa ndani ya Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar kulikokuwa na Tamasha la Fiesta ambapo paparazi wetu alipokuwa ‘back stage’ na kutaka kuwapiga picha, kila mmoja alijiachia na kuonesha mapaja yake kana kwamba walikuwa wakishindana kuonesha nani anayo mazuri.
Staa wa muziki wa kizazi kipya Sarah Kaisi ‘Shaa’.

Hata hivyo, hakuna aliyekuwa tayari kuzungumzia namna alivyovaa ila mara nyingi Linah amekuwa akisema, yeye kama msanii haoni hatari kuvaa hivyo.

Kibonajoro.com ndio mtandao wako kwa habari za ndani na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Facebook

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top