Wakazi wa Dodoma na viunga vyake wamepokea shangwe za burudani ya Serengeti iesta 2014 iliyofanyika Jumapili (October 5) ndani ya viwanja vya Jamhuri Dodoma.
Ali Kiba akiwa kwenye pozi ndani ya jukwaa la fiesta Dodoma
Tamasha hilo ambalo lilihudhuriwa na wakazi wengi wa mjini Dodoma lilipambwa na wasanii, Young Killer, Jux, Stamina, Fid Q, K. Style , G.Luck, Vanessa, Ali Kiba, Dully Sykes , Mr Blue, Recho, Nay wa Mitego, Khadija Maumivu, Linah, Edo Booy, Baba Levo, Abdu Kiba, Barakah Da Prince, Mo Music , Y. Tony , D-Triple pamoja na Suba Mkole.
Tazama picha.
Mtangazaji wa Clouds TV Lugha Kali
Recho akionyesha uwezo wa mauno
Ali Kiba akiwa na dancers wake
Ali Kiba
B 12 akifanya yake Dodoma
Baba Levo
Barakah Da Prince
Blue
Burudani tu
Burudani
Dully Sykes
Full shangwe Dodoma
G.Luck akisambaza upendo ndani ya Dodoma
Ice Boy na wasanii wengine wakisambaza upendo kwa pamoja
Jux
Linah na Barakah Da Prince wakisambaza upendo
Mdau wa muziki akiwa amepandisha mzuka
Mr Blue kwenye stage
Mtangazaji wa Clouds TV Nickson akiwa na wadau wake
Recho na dancers wake wakionyesha uwezo
Stamina
Super nyota 2013 Edo Booy alionyesha uwezo wake
V.Money
Vanessa akisambaza upendo
Vanessa Mdee
Vanessa ndani ya Dodoma
Young Killer alionyesha uwezo wake
Young Killer
Adam Mchomvu akifanya yake
Baba Levo aka Baba la baba
Mo Music
Recho mapenzi
(Picha Bongo5)
Bonyeza Hapa like ukurasa wetu wa facebook
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment