Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Stori: Musa Mateja

Katika hali ya kushangaza hivi karibuni wanamuziki Hamisi Mwinjuma ‘MwanaFA’ na Estelina Sanga ‘Linah’, waliamua kudendeka hadharani mchana kweupee na kuwaacha watu wamepigwa butwaa.
Wanamuziki Hamisi Mwinjuma ‘MwanaFA’ na Estelina Sanga ‘Linah’, wakidendeka jukwaani.

Tukio hilo lilitokea juzikati ndani ya Uwanja wa Namfua mjini Singida wawili hao walipokuwa kwenye shoo ya Fiesta ambapo katika kusaka mzuka wa mashabiki, Linah alimsogezea uso FA na bila hiyana mahaba yakachukua nafasi.
Kufuatia tukio hilo, baada ya shoo mwandishi wetu alimfuata FA ili kumuuliza kulikoni aliamua kufanya vile ambapo hakutoa ushirikiano ila Linah alisema, hakuona shida kwani si jambo la ajabu sana kwake hasa linapokuja suala la burudani.

Kibonajoro.com ndio mtandao wako kwa habari za kitaifa/kimataifa, burudani, michezo, udaku na siasa, Tuwe pamoja huku pia  >> Facebook 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top