Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kamati ya Miss Tanzania leo inatarajiwa kuelezea ukweli juu ya sakata la kudanganya umri la mshindi wa taji hilo mwaka huu, Sitti Mtemvu.
Unaweza Soma : HAA! MBOWE SOMA ALICHOKIFANYA MHE.FREMAN MBOWE




Mratibu wa shindano hilo Hashim Lundenga amesema kamati yake itaelelezea taarifa ambazo walikuwa nazo kuhusiana na mrembo huyo na matokeo ya uchunguzi baada ya taarifa nyingi zilizoibuka.
Unaweza soma :  Msanii YP wa TMK Wanaume Family Afariki Dunia



"Yamesemwa mengi na yameandikwa mengi, hivyo leo itajulikana kama atavuliwa taji ama la" maneno hayo amesema Lundenga
Je, wewe mtazamo wako ni upi, unapenda abaki na taji au avuliwe?

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top