Sehemu ya uso alipoumia mtoto huyo.
Mama aliyekuwa na mtoto mchanga akiwa amebebwa na Wasamaria wema.
Umati wa watu wakiwa eneo la tukio.
Mama na mtoto wakipandishwa kwenye Bajaj.
Mama wa mtoto akiwa kapumzika.
Dereva wa pikipiki akiwa anagugumia kwa maumivu baada ya tukio. Pembeni ni pikipiki iliyopata ajali.
KITOTO kichanga jana kilinusurika kufa katika ajali iliyotokea maeneo ya Ubungo-Darajani jijini Dar es Salaam, baada ya pikipiki aliyokuwa amepanda mama yake kuteleza na kuanguka wakati dereva akitaka kuovateki gari iliyokuwa mbele yake.
Katika tukio hilo kichanga hicho kiliumia sehemu ya usoni, huku dereva na mama mwenye mtoto wakipata majeraha sehemu mbalimbali za miili yao.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro













Post a Comment
Post a Comment