Ita jeuri ya pesa au vyovyote utakavyo lakini mwisho wa siku Jux sio mwenzetu. Wanasema picha huongeza maneno 1,000, hivyo picha hiyo chini inaongea.
“No one can spoil you better then spoil yourself #gold #24k #chains #spoilmyself #africanboy,” ameandika kwenye picha hiyo aliyoweka Instagram.
Kibonajoro.com ndio mtandao wako kwa habari za ndani na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Facebook
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment