March 31, 2025 03:58:46 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond' (wa pili kutoka kushoto), akiwa na madansa wake pamoja na Nay wa Mitego wakitoa burudani katika tamasha la Serengeti Fiesta 2014, Leaders Club jijini Dar.

Madansa wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinum wamekamatwa leo wapo kituo cha polisi cha Oyster Bay, Dar kwa kuvaa sare za JWTZ.







Wakati huohuo polisi  wakiendelea kumtafuta bosi wao Nasibu Abudul ' Diamond Platinumz kwa maelezo zaidi kutokana na kuvaa sare za Jeshi la Wananchi (JWTZ) katika tamasha la Serengeti Fiesta Leaders Club, Dar usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita, hawajampata.
Mwandishi wetu alimtafuta Meneja wa  Diamond aitwaye Babu Tale kwenye simu bila mafanikio.
(HABARI NA MUSA MATEJA/GPL)

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
22 Oct 2014

Post a Comment

 
Top