Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
CNN EbolaNi kawaida kusikia mtu kapewa ‘a.k.a’ ambayo lazima kuna kitu kilichopelekea akapewa a.k.a hiyo, huenda ikawa ni muonekano wake, tabia, mavazi ama kitu chochote kile kinachohusiana na yeye.

Watu wamekuwa wakitoa ‘a.k.a’ hata kwa vitu vingine pia, lakini kali ni hii kutoka Marekani, ambapo ripota wa kituo cha televisheni cha CNN alitoka kali baada ya kutoa a.k.a ya ugonjwa wa Ebola, kwa kuuita “Fear-bola”
Mel Robbins- Fear-bolaMel Robbins amenukuliwa katika ukurasa wa mtandaoni wa kituo hicho akisema; “Fear-bola inashambulia sehemu ya ubongo inayohusika na kuwaza mambo ya busara”

Mtangazaji huyo aliongezea kuwa ‘Fear-bola’ ilianza pale ilipogundulika wauguzi 2 walipata maambukizi hayo huko Dallas, na baadaye ikatanda ‘ugonjwa wa hofu’ kila kona ya Marekani.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top