Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema yuko radhi kwenda katika mahakama ya kimataifa ya ICC kwa kikao maalum kuhusu kesi inayomkabili.
Kenyatta ametakiwa na majaji wa mahakama hiyo kufika ICC tarehe 8 mwezi huu.
Taarifa zaidi inakujia hivu punde
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment