Baada ya siku ya eviction kupita, washiriki waliosalia kwenye shindano la Big Brother Africa wamerudi kwenye maisha yao ya kawaida ndani ya mjengo. Idris wa Tanzania na Ellah wa Uganda waliamua kuliwazana kwa massage na kulala wakikumbatiana. Watazame. kama ifaa chako hakina uwezo bonyeza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment